Articles

Affichage des articles du novembre, 2021

UVIRA KILOMONI

Image
KIJANA ANASWA NA PESA BANDIA Mchana wa Leo hii tarehe 13/11/2021 eneo la kilomoni kijana mmoja ambaye hakujulikana jina, alinaswa pindi tu alipokua na nataka kumtapeli mfanyabiashara wa duka la chakula. Mama huyo ambaye Pia anakuaga n'a badilisha pesa alijikuta katika mkasa huo alipokua nataka kutoa pesa za makongomani kumpa kijana huyo, ambaye alikua na hizo Dola batili moyo ukadunda anasimulia mama huyo. Ndipo alipo waita majirani kumsaidia gafla jamaa huyo tapeli akakimbiwa na kutokomea pasipo Juliana.        Radjabu Kiza Kabonga

Ziwa nyangara hatari kwa wanadamu

Image
Hakika watu ni wepesi sana kusahau ziwa hili maarufu kama nyangara linalo patikana ndani ya jiji la Uvira, Kivu ya kusini ndani ya nchi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Haiwezi pita miezi miwili mtu hajafa kwa maji ama mtu kukoswa na viboko, Pia ziwa hili ndyo njia muhimu ya wakulima wanoenda mashambani utumia, zaidi mitumbwi ndyo usafiri.