UVIRA KILOMONI


KIJANA ANASWA NA PESA BANDIA
Mchana wa Leo hii tarehe 13/11/2021 eneo la kilomoni kijana mmoja ambaye hakujulikana jina, alinaswa pindi tu alipokua na nataka kumtapeli mfanyabiashara wa duka la chakula.
Mama huyo ambaye Pia anakuaga n'a badilisha pesa alijikuta katika mkasa huo alipokua nataka kutoa pesa za makongomani kumpa kijana huyo, ambaye alikua na hizo Dola batili moyo ukadunda anasimulia mama huyo.
Ndipo alipo waita majirani kumsaidia gafla jamaa huyo tapeli akakimbiwa na kutokomea pasipo Juliana.
       Radjabu Kiza Kabonga

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog

Barabara ya taifa nambari tano haibu

La loi de Noël Tshiani doit être votée par nos députés

Kifo cha aliyekua mwimbaji nguli