Kifo cha aliyekua mwimbaji nguli


General Defao ambaye alikua mtunzi mashuhuri wa nyimbo za rhumba, pia mchezaji mahiri wa dansi ya kikongo amefariki dunia na kuacha uzuni mkubwa kwa ulimwengu wa dansi.

Raia katika jiji la uvira mkoani Kivu ya kusini wamesikitishwa na kifo cha mwanamuziki huyo, kilichotokea nchini Cameroun.

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog

Barabara ya taifa nambari tano haibu

La loi de Noël Tshiani doit être votée par nos députés