Emmanuel Macron sinto acha kusalimiana na wana nchi wangu

 

Akizungumza baada ya kuchapwa kibao na mwanachi mmoja nchi humo raisi wa ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesema hilo sio kizuwizi kwake kutoongea na wananchi wake, ataendelea kufanya hivo maana ni kawaida yake.

Hayo yalijiri wakati raisi huyo alipokua kwenye ziara zake na kutaka kukutana na waendesha migahawa, ili kuzungumzia hali wanayopitia kipindi hiki cha covid-19.

Alishuka ndani ya gari na kujielekeza walipokua Raia, bila taarifa Sisi hatukua na ratiba ya yeye kushuka na yaliyotokea Wala hatuku litarajia 

                       ( Mlinzi wa Macron)

Tukio hilo limetokea na yatari watu wawili wamewekwa mbaroni, bado uchunguzi unaendelea baadhi ya wachambuzi wanasema labda lile lilikua chambulizi dhidi yake.

               Radjabu Kiza Kabonga

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog

Barabara ya taifa nambari tano haibu

La loi de Noël Tshiani doit être votée par nos députés

Kifo cha aliyekua mwimbaji nguli