Maisha anayopitia mjane wa

  


  

Baada ya kifo cha mumewe ambaye alikua ni tegemezi kwake maisha ya mama na watoto hao sasa sio nzuri Kabisa, mjane yupo kwenye wakati mgumu wa maisha pia zile pesa ambazo mahakama ya kijeshi ili amuru kulipwa fidia mpaka leo hii hakuna kilicho patikana, kitu ambacho kina leta ukakasi kwa mjane na kaka mkubwa wa marehemu, ifaamike tu bwa wakili Rodrigues aliuliwa akiwa ndani ya kituo cha polisi na aliye muua ni aliyekua meja wa jeshi la taifa FARDC Bwana Katembo ambaye aliukumiwa kifungo cha maisha na kuitaka serikali ilipe dola milioni moja kwa familia ya Rodrigues

Commentaires

Enregistrer un commentaire

Posts les plus consultés de ce blog

Barabara ya taifa nambari tano haibu

La loi de Noël Tshiani doit être votée par nos députés

Kifo cha aliyekua mwimbaji nguli