Maisha magumu njia ya ngomo
Ukitaka kujua kwamba kuna watu wanamaisha magumu sana hasta katika nchi hii ya Lumumba na Mobutu wewe tumia usafiri wa gari boda boda ama baiskeli, tamaza jinsi njia ya ngomo ilivyo haribika wakati barabara hii ni muhimu sana kupatanisha Uvira, walungu, Bukavu, na maeneo mengine ila serikali yetu ipo kimya tu kama mzoga Wala hawaoni maana na hata wakiambiwa hawaelewi kitu jamani fanyeni wepesi kwa hili tatizo ili usafiri Salama na uakika inakubidi kupitia Rwanda, sasa mpaka lini haya mazingira yaendelea?
Commentaires
Enregistrer un commentaire