Passport ya congo bado kitendawili

 Licha ya kwamba serikali inayo fanya kuwapa wananchi kipawa mbele lakini bado tu kuna tatizo hapa, maana ilitangazwa kua sasa kila mcongomani atapata hati ya kusafiria(passport), kwa gharama ya dollar 99 za kimarekani.

Pita sasa sehemu husika utakuta bei tofauti sana sio kama ilivyopangwa, kwa sasa watu hununu kitabu hicho muhimu kwa kusafiria dollar 150 tena bila kupinga, jijini Bukavu na miji mingine hali hiyo inaendelea kushuhudiwa huku watumishi wa serikali wanasema bei hiyo ni kwa sababu hawalipwi mishahara yao.


Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog

Barabara ya taifa nambari tano haibu

La loi de Noël Tshiani doit être votée par nos députés

Kifo cha aliyekua mwimbaji nguli