Yaliyojiri 2020 Baada ya covid-19 kuingia Drcongo
Utashangaa sana baada ya kuambiwa ama kujionea jinsi sehemu mbali mbali za starehe, ama kwenye makazi ya binafsi covid-19 ilikuja na kuwafanya watu kutaharuki, mbaya zaidi mafuriko, kama haitoshi maji ya ziwa tanganyika nayo yakapanda na kuchangia, kuwaacha watu zaidi 2000 bila sehemu ya kukaa Kwa upande wa mulongwe, hapo kasenga zaidi ya 3000 hawana makazi na maeneo mengine mengi, yaani hiki kitendo kimeharibu biashara ya beach, baa za ufukweni, nyumba za wageni.
Ni hali ya kawaida sana na hakuna mtu yeyote anayeweza kushinda na hii hali aliongea mbele ya waandishi wa news home tv mkurugenzi wa kituo cha sayansi na utafiki wa kibiologia jijini Uvira, hivo kuwataka wananchi kukubaliana na hali halisi.
Radjabu Kiza Kabonga
Commentaires
Enregistrer un commentaire