Barabara ya taifa nambari tano haibu
Katika mazingira ya hajabu sana ndyo uta amini kwamba nchi ya Lumumba na Mobutu tunayoishi Sisi itakua Sawa, karibia barabara zote zimekufa ili kuimarisha hii njia inaomba sana juhudi za viongozi hapo ni katika tarafa ya Fizi site ya mboko, tena ni Karibu na ofisi ya mkuu wa sekta ya tanganyika ndugu John. Na viongozi wengine wa jimbo wana habari juu ya hii hali lakini ni kama tu wanapuuza, kama wanashindwa tutengeneza hapa je lwanga, ngomo Pemba wataziweza?
Commentaires
Enregistrer un commentaire